The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?