Hivi kuna uhusiano wowote kwenye kusafisha nyota na mafanikio

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
 
pata matatizo ndpo utajua kuna umuhimu wa kujua mambo ya nyota,,unapoona mabango ya waganga wa kienyej kila mtaa na kila ktk nguzo, ujuwe kuwa tatizo ni kubwa ktk maisha ya watu.

mambo ya nyota ni kwel yapo, na nyota ni kwel zipo, lkn tofaut na zile nyota za angani, nyota ya mtu ni copy ya utu wa mtu wenye mwangaza ambao una ng'amua details zote za mtu husika, kuanzia tabia ya ndan ya mtu huyo, kipawa cha mtu, mapenz ya mtu huyo kwa mtu/vitu, future ya mtu huyo, ambapo hapa uonyesha mtu huyu alizaliwa dunian kwa lengo gani na akifuata sheria za wito wake alioletewa dunian bas ataish kulingana na iyo future, lkn akienda kinyume na wito wake bas ataish maisha nje ya wito na kuiharbu future ama wito wake, haijarish ataish maisha mazr ama mabaya.

note;- mwangaza huo unapokuwa mkubwa ndpo mvuto wa mtu huwa mkubwa, vice versa ukiwa mdogo hata mvuto huwa chini na hapa ndpo matatizo huanzia

nyota iyo pia huong'amua siku za bahat, rangi, marafiki, namba, mji, nchi,mkoa, nyumba, mtaa, chakula na mavaz, ambapo kama mtu huyo atabahatika kuyapatia haya mambo basi ataish vzr kwa kupata kile anataka, ama kupata kile ambacho hakutarajia kupata.

mfano wew juma unaish mwanza, lkn bahat yako inaonesha ukiish mjin arusha utafanikiwa kukutana na john mmiliki wa kampuni fulan ambay anahitaj msimamiz wa iyo kampun, ambapo pia wew una ujuz wa usimamiz wa biashara kama hizo, lkn upo mwanza na hujui utaishije, pale unapokutana na mtahalam wa kwl achana na ayo matapel, huweza kukuonesha haya mambo ambapo hukutajia mpka bahat yako ilipo kuanzia vyakula( kulingana na afya yako) siku ya bahat( ambapo ukiitilia maanan ukatoka ktk mji wa bahat yako, utakutana na yule john, wilaya na mtaa wa bahat yako).

nyota ni mjumuiko wa tabia zako lkn watahalamu waliziweka ktk makund12, mm nasema kuwa nyota ni tofaut pengine ziko zaid ya hizo lkn wao walizijumuisha ivyo il kupunguza mkanganyiko wa kudadavua tabia ya kila Mtu dunian which is impossible,

makundi yale ya nyota12 yalimilikishwa ktk miungu 12 ambayo husimamia mienendo ya kila tabia ya kundi ktk izo12, kila kundi uchunguzwa kiumakin kuanzia jua linapozama mpka linapochomoza ambapo muingiliano wa nyota na nyota nyingine huleta mabadiriko na matokeo either hasi au chanya kulingana na aina ya nyota zilzokutana, mfano, nyota yako aiendan na kund fulan la nyota, bas zitakapo kutana huweza sabbisha mikosi,vurugu ama fujo kwa watu wa kundi za nyota hizo, na pia kama nyota fulan znaendana zikakutana kulingana na uchambuzi wake, bas bahat uweza kuwatokea hao watu wa makundi hayo, ndyo hapo utaona mtu akisimulia kukutana na mtu asiyemfaham lkn alimtendea mazur ambayo hata ndugu hawajawai, ama kuna aina ya marafik kila ukiwa nao kunatokea magundu yasiyokwisha, chanzo uanzi huku, na wanajimu ama wasoma nyota hutizama haya mambo na ndpo kubashir kuwa kama nyota yako ktk mzunguko ikapitiwa na kund fulan, siku fulan bas kuna tukio ltatokea,

matukio haya huongozwa na miungu ambayo ndyo ndyo hiyo hiyo ilitumiwa ktk kuunda miez12 ktk mwaka, na siku 7 ktk wik ili ku control maisha ya watu...

kuhusu kusafisha hapa inatofautiana kulingana na matatizo yako, mfano tatz lnaweza kuwa
.[emoji117]kulogwa kwa kutupiwa nuksi, hapa dawa yake ni yakiroho tu kufanyiwa visomo kuondoa gundu izo kwa visomo m maombi, au ushirikina kwa walozi
[emoji117] kuish nje ya wito wako, hapa shida uhusu wale wanaofanya shughur nje ya vipawa vyao(wito), miji yao na aina zaa marafik ambao hawasapoti wao kuachia nuru ya uwepo wao dunian kuongezeka, na tatzo ili linatibiwa kwa njia rahisi tu ambapo ni kurudia asili yako na kuachana na marafiki wa hovyo(wanaoziba mwangaza wako)
[emoji117] kuchafuka kutokana na tabia za muhusika, mfano, uzinzi kupitia wanawake/wanaume weng ama wenye gundu,udhurumaji, uchoyo, tabia za visasi na ubaguzi, ugomvi na uvivu wa kutoa sadaka kwa wahitaji, haya mambo pia huponywa kwa wepesi sana kwa mfano kutumia baaz ya vyakula kwa kula au kuogea(chumvi) ambapo husaidia kuondoa izo gundu, pia kupenda kusaidia watu wasiojiweza husaidia kuuponya utu wako, kukubariki(mwangaza wa nyota yako), pia upendo kwa watu wote.

kuna mengi ya kuandika acha niishie hapa, wapo wajuzi kulko mm wanaweza kuelekeza, mfano ''mshana jr"
 
shukrani mkuu kwa maelezo, hasa hapa kwenye wataalamu waaminifu na wa ukweli. ninataka kupata huduma ya kusafishiwa nyota, una mtaalamu yoyote unayemfahamu wa ukweli

Back
Top Bottom