Wanajamvi, naomba kuuliza na kujibiwa hili. Je, kuna ukomo wa kudai mirathi wa wenye haki hiyo? (mfano mtumishi wa uma amefariki miaka 30 iliyopita.)
Je, iwapo wale waliokuwa wapewe mirathi tayari wameshavuka umri wa miaka 18, je katika umri wa utu uzima wanaweza kudai haki yao ambayo wangeipata wakati wakiwa na umri wa miaka 18?
Na kwa mtumishi wa umma hasa askari, mirathi inayotolewa hufikia pesa ngapi?
Ni hayo tu.