Hivi kuna ukomo wa kudai mirathi?

Hivi kuna ukomo wa kudai mirathi?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
854
Wanajamvi, naomba kuuliza na kujibiwa hili. Je, kuna ukomo wa kudai mirathi wa wenye haki hiyo? (mfano mtumishi wa uma amefariki miaka 30 iliyopita.)
Je, iwapo wale waliokuwa wapewe mirathi tayari wameshavuka umri wa miaka 18, je katika umri wa utu uzima wanaweza kudai haki yao ambayo wangeipata wakati wakiwa na umri wa miaka 18?
Na kwa mtumishi wa umma hasa askari, mirathi inayotolewa hufikia pesa ngapi?

Ni hayo tu.
 
Tafuta wakili aliyekaribu nawe.. Omba ushauri atakupa majibu
 
Back
Top Bottom