Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Hivi kuna ukweli katika maoni kwamba wanawake ambao wameolewa au waliwahi kuolewa wake wenza mara nyingi huwa na hasira kali sana ya kisasi? Inasemekana kadiri walivyokuwa chini kwenye uke wenza ndivyo wanavyokuwa na roho mbaya zaidi - yaani mke mwenza wa tatu mara nyingi atakuwa na hasira kali ya kisasi kuzidi mke mwenza wa pili.
Na pia inasemekana hata watoto wao wanakuwa na tendency hiyo hiyo,kisasi na ukatili. Kwa mfano mama yake Chaka Zulu wa South Africa alikuwa mke mwenza wa chini kabisa na akawa na hasira sana ya kisasi, ambayo mwanae Chaka Zulu nae akawa nayo.
Kama una experience na jambo hili hebu tuambie.