Hivi kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,731
Wana jf wenzangu hivi ni kweli 21.12.2012 dunia itateketea?
 
Inateketea na nini na Moto au Mafuriko?
 
Sasa unaogopa nini,
si tutajikuta wote tukiwa mahali pengine
na jf itakuwepo kama kawaida tu.
 
aisee maisha matamu ,mamndenyi ila kama ndo hivyo safi jf kama kawaida raha saaana
Sasa unaogopa nini,
si tutajikuta wote tukiwa mahali pengine
na jf itakuwepo kama kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…