Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Teh et makubwa mxyuuuu kwani ulisikia mayai yangu nimelia chips? 😀Teh teh,evelyn naye kapata mtoto? duh makubwa!
Jirani yangu nishamuona anaweka kipande cha papai mdomoni kwake hatafuni then anatema anampa mtoto, nikamuuliza mbona papai ni laini linatafunika kwanini anafanya hivo akasema analipoza ni la baridi lilikua kwenye friji.....Hiv kuna watu kabisa wanafanya hivo" duh
Kwanini ampe mtoto mahindi ya kuchoma kama hana meno, mara mia na hao wa vijijini hawajui hata madhara ya kumpa mtoto chakula kigumu hivo na madhara ya kumtafuniaMhh mm nakumbuka kijijini mzazi km anataka kumpa mtoto labda muhind wa kuchoma anamtafunia anampa coz hata blender hakuma
Blender kwa mjini, vijijini kuna vilee vimti vya kupekechea, pia chakula cha mtoto kukikoroga koroga kinafaa mfano ndizi, viazi mviringo, viazi vitamu hata wali vikipikwa kwa muda vikakorogwa vinafaa kabisa kuliwa na mtotoUmaskini na elimu pia vinachangia sio kila mzazi anauwezo wa kununua blender, na hiyo ipo sana vijijini wamama wengi hulazimika kuwatafunia watoto wao kutokana na aina ya Chakula.
Wakat Mwingine akina mama tunapitia mengi nilishaona mama anamnyonya mwanae pua na sehem zingine ili kunusuru maisha ya mtoto baada ya kuzama kwenye dimbwi la maji na kupoteza faham, wengi wetu tulidhan mtoto amefariki lakini baada ya yule mama kunyonya sehem mbalimbali za mtoto baadae mtoto alizinduka mpaka Leo yuko hai.
Makubwaaaa kisa blender au hapo uzungu ni upiKama siyo wazungu msingeongea mambo kama haya
Unafikiri basi najua!!Makubwaaaa kisa blender au hapo uzungu ni upi
We ni kind ya watu wenye gubu.... Uwe na jumapili njemaUnafikiri basi najua!!