Hivi kuna umuhimu gani kumtafunia mtoto chakula

Hivi kuna umuhimu gani kumtafunia mtoto chakula

Usije kuta hata wote humu tuliwahi tafuniwa chakula na kulishwa,hayo ni mapenzi ya mama kwa mtoto yaliopitiliza.
Inawezekana ni mapenzi ila ni mapenzi yasio salama kwa ulimwengu huu wa magonjwa kedekede
 
Hakuna mama msomi au mume wake msomi au anaexposure anaweza kufanya hivyo. Ni kukosa elimu na exposure.
Kuna miaka nliishi kijijini na dada angu na alikua na mtoto ila sikuwahi kuona hii kitu, nimekuja kuiona kwa wa mama wa town wenye degree.... Kazi ipo
 
Wazazi na walezi wote, huwa kuna sababu gani ya kumtafunia mtoto chakula? Mi huwa naona ni uchafu tu kwakweli hata kama mtoto ni wako. Mambo mbona yamerahisishwa kama unataka kumwahisha kula nyama na vyakula ambavyo hawezi kutafuna kwanini usitumie blender kusaga viwe laini umpe?
Unakuta mama anaweka nyama mdomoni anaitafunaaa afu anatema anampa mtoto ptyuuuu sio mapenzi ni uchafu hayo ya hivo mfanyie baba ake sio mtoto please, midomo yenyewe hii ina bacteria tu, midomo imenyonya sijui nini huko ikala na zile sijui nini ikalamba na nanii sasa kwanini umtafunie mtoto.
Kueni wastaarabu
Weekend njema
You are very right madam.
 
Vyema kukwepa jambo hilo. Ikiwa bahati mbaya mtafunaji anavidonda mdomoni akiwa muathirika wa ukimwi itakuwa balaa.
Japo kitalaam virusi hapitii kwenye mate lakini vinyama toka kwenye vidondoda vinaweza kwenda na chakula na kubeba virusi
Hamna haja ya ku risk
 
Uchafu tu kumpa mtoto bacteria tena ukute wengine hunyonya papuchi au gegedo huko sikumwambukiza mtoto fungus
 
Vyema kukwepa jambo hilo. Ikiwa bahati mbaya mtafunaji anavidonda mdomoni akiwa muathirika wa ukimwi itakuwa balaa.
Japo kitalaam virusi hapitii kwenye mate lakini vinyama toka kwenye vidondoda vinaweza kwenda na chakula na kubeba virusi
Hamna haja ya ku risk
Naambiwa ni mapenzi ya mama kwa mtoto ila sio salama kwakweli
 
Back
Top Bottom