Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba hapo umenifungua ndio maana uunaambiwa , akili za kuambia changanya na zakwako.Uyo jamaa yako anakibamia bila shaka,,,,
Mbali na kujisitiri tunavaa boksa ili umbile letu lisirukeruke tunapotembea ,,,ndo maana tunavaa zinazobanaaa bt stil yanajichoraaaaa
Halaaaa [emoji112] wote kwa rijali[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hapo vip!!
Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa nambishishia kwasabababu sio kitu cha kawaida.
Binafsi mimi mwenyewe siwezi kuvaa suruali bila boksa.
Hivi hii chupi kwa wakina Dada na boksa kwa wanaume inasaodia nni kwa nini tusivae suruale ili badushe yarelux kama jamaa anavyonishawishi hapa.
Dah!! But nakumbuka sometime inasaidia coz unaweza ukakaa Karibu na mtoto wa ukweli alafu mtarimbo ukaaza zingua,sasa huwa Mimi naingiza mkona nalikunjia kwa juu alafu boksa inabana kwasasababu nikiacha inaoneka kabisa jamaa anataka kutoboa suruali.
Wewe huwa unafanyaje ktk hii situation...
Nakuona zinavocheza sebeneNn ww
Sasa ww unajihesabu unavaa picha kwa zile dizaini za kufuli zako unazovaa [emoji23][emoji23]Nakuona zinavocheza sebene
Uko darasa la ngapi kwanza tuanzie hapo
asante kwa lecture mkuu,somo lako zuri sana.Nguo za ndani hasa boxer na chupi zina faida lukuki, ila wachache tu ndiyo wanazifahamu.
1. Boxer au chupi husaidia sana katika kusitiri maungo yetu. Mfano, ukivaa suruali ya jinsi INA ugumu wake. Ukizoea kuvaa, inaweza kusugua sugua mbunye au dushe na hata kufanya kuwa na sugu. Ndiyo maana nguo hizo huwa ni laini kulinganisha na nguo za nje.
2. Ukuvaa suruali yenye zipu, bahati mbaya ukakosea kufunga inakamata makuyenye na Mara nyingine kukusababishia maumivu makali sana. Yaani zipu inakamata ngozi ya Korodani au uume, maumivu yake si ya kitoto.
3. Huwezi kuvaa nguo inayokaba mwili moja kwa moja. Hivyo ukiinama au kuchuchumaa, lazima nguo ihame kidogo. Sasa zile nguo zenyewe ni nzuri kwani hazotoki kwenye mwili kiajabu. Ukivaa suruali halafu ukainama, lazima mstari wa Ikweta uonekane.
4. Boxer na chupi pia husaidia Jamaa anaposimama kwa matamanio au harakati zingine. Husaidia kuubana vema ili isionekane kiurahisi.
Kwa lafudhi hii,wewe ni wa Arusha. Am i right?Usivae kabisa hata suruali....tembea tuu mbupu wazi chalii angu hii ni nchi huru jombaa.
Unavoongea utafikiri unazijuaSasa ww unajihesabu unavaa picha kwa zile dizaini za kufuli zako unazovaa [emoji23][emoji23]
Wewe akili zako bhana ukija Mjini nicheck basiHahahahahaha
Unadhani sizijui?!
Wewe akili zako bhana ukija Mjini nicheck basi
Kwenda huko tatizo unao Wengi sijawah ona msg yakoHehehehehe
Hata msg zangu hujibu
Kwenda huko tatizo unao Wengi sijawah ona msg yako
Hakuna umuhimu piga tubeless ni maamuzi yakoHapo vip!!