Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi.
Ila ijawahi kuacha mtu salama na kashfa zijaanza leo.
Hawa ndio watoto walikuwa maarufu.