Sasa yupi aliyeharibika hapo? Na ameharibika kwa vipi?Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi.
Ila ijawahi kuacha mtu salama na kashfa zijaanza leo.
Hawa ndio watoto walikuwa maarufu.View attachment 3521240
Ariana GrandeHao wamejichangnya wenyewe tu sio wote wapo hivyo mkuu
Ariana mbona yupo fresh mkuuAriana Grande
Kwanini huwa unasema kuna dhambi?Ushetani is delusion
Devil never exists
Huyo jamaa wa juu hapo ni kama amekua zezeta na hana makazi kwa sasa, kuna staa juzi kamuokota mtaani kampangia hotelini ili aanze kutibiwa afya ya akili maana hata anachoongea hakieleweki sanaSasa yupi aliyeharibika hapo? Na ameharibika kwa vipi?
Huyo jamaa wa juu hapo ni kama amekua zezeta na hana makazi kwa sasa, kuna staa juzi kamuokota mtaani kampangia hotelini ili aanze kutibiwa afya ya akili maana hata anachoongea hakieleweki sana
Sasa kakataa akiwa na akili timami kweli? au yeye anaona yupo sawaKakataa hiyo ofa!