Hivi kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto awe wa kiume au wa kike

Are you on drugs or something?

If I were your English teacher I would have spent my spare time to instruct you about idioms. You dumb.

Read between the lines simply mean "to find a hidden meaning in something written"
Haaaaa u mule to be my teacher!!! Ohh Jesus on a bicycle!!! Speechless!! I'd rather stop here
 
Wana Baolojia Njoon, Nakumbuka Mwalimu Wangu Wa Wakat Ule Alituambia Y Ni Weak Ktk Kusavive, Lifespan Yake Ni Ndogo Japo Ina Speed. So Uksex Leo Afu Ukaingia Ovulation Kesho Lazma Mtoto Atakua Wa Kike Maana Y Itakua Imekufa X Bado Inaexist. Pia Y Ipo Ver Sensitive To Condition, Yan Mwanamke Anapokua Na Hamu Ya Kufanya Mapenz(heat/ovulation) Mazngr Ya Kibaolojia Yanaandaliwa Kwaajr Ya Kufavor Incoming Male Spems, Ckumbuk Km Ni Acdc Au Alkalyn Condtion Ambayo Y Is Sensitive To. Km Mwanamke Atakua Ana Umwa Au Hayuko Tayar Kufanya Mapenz Hata Km Anaovulate, Kupata Mtoto Wa Kiume Co Rahisi Maana Y Haitakua Active. Ndo Maana Mwanamke Akbakwa Maranyng Mtoto Huwa Wakike. Km HuwaUnapata Watoto Wa Kike Tu Inatakiwa Uwe On Time Pale Mwanamke Anapokuhtaj, Nakama HuwaUnapata Wakiume Tu, Jarb Kufanya Timing Kabla Hajaanza Kuovulate 24hrs. Otheryz Muone Daktar Wa Mambo Ya Uzazi Atakufafanulia Kiundan Mm Npo Deep In Shalow.
 
Pia Kumbuka Mbegu Huwa Zinashndana Kulikimbilia Yai, Itakayo Kua Ya Kwanza Kuingia Tu, Yai Hujfunga Na Hairuhusu Mbegu Nyingine Tena. Kumbuka Y Huwa Ina Speed Kuliko X, Ss Km Mtu Ana Abdomality(ulemav) Ya Y Kuwa Slow Bac Ktpata Mto Wa Kiume Itakua Shda. Au Km Tatzo Ni Diet, Bac Mwanaume Atashauriwa Kutumia Vyakula Vtakavyo Strengthen Y Na Km Tatzo Ni Condition Ktk Njia Za Mwanamke Bac Mwanamke Atashauliwa Kutumia Diet Itakayoweza Kutengeneza Condtn Itakayo Favor Y
 
Haaaaa u mule to be my teacher!!! Ohh Jesus on a bicycle!!! Speechless!! I'd rather stop here
Have you consulted your doctor today? You seem not ok mentally. You are suffering from schizophrenia
 
inawezekana ni rahis sanaaa sex na mke wake siku ya 14 hesabu kuanzia siku ya kwanza ya kutoka damu mpaka ya 14 ukisex siku ya 14 ni uhakika mtoto wa kiume kwa sababu zifuatazo
yai la mwanamke linafika katika mji wa mimba siku ya 14 linakaa kwa saa 12au24na kuharibia baada ya muda kama siku saba mpaka 13 linaanza kutoka likiwa katika mfumo wa damu hapa utaona breed zipo tofauti na hazieleweki tareh huyu weekhuyu siku mbili huyu nne au tano inategemea yai limeharibika vipi

siku ya 14 ni mtoto wa kiume sababu mbegu dume zinakimbia kuliko mbegu jike ila mbegu jike zinaish mda mrefu wa siku tatu kuliiko za kiume zenye mbio ni siku mbili

kinachotokea sababu yai limeshuka mbegu dume linaziwai yai kuliko za jiko zitakazokuja nyuma polepole zikifika zitatunga mimba ya kiume

naitw dr appoh ni bingwa wa matatizo ya uzazi kwa wanaume gharama yangu ni elfu 20 tu kwa whats app nakupa formula ya matunda tu bila kemikali na unspona kabisaa 0712505049
Hii inaaply kwa wanawake wenye mizunguko yote? Sio kwamba ni wale wenye mzunguko wa siku 28 tu?
 
inawezekana ni rahis sanaaa sex na mke wake siku ya 14 hesabu kuanzia siku ya kwanza ya kutoka damu mpaka ya 14 ukisex siku ya 14 ni uhakika mtoto wa kiume kwa sababu zifuatazo
yai la mwanamke linafika katika mji wa mimba siku ya 14 linakaa kwa saa 12au24na kuharibia baada ya muda kama siku saba mpaka 13 linaanza kutoka likiwa katika mfumo wa damu hapa utaona breed zipo tofauti na hazieleweki tareh huyu weekhuyu siku mbili huyu nne au tano inategemea yai limeharibika vipi

siku ya 14 ni mtoto wa kiume sababu mbegu dume zinakimbia kuliko mbegu jike ila mbegu jike zinaish mda mrefu wa siku tatu kuliiko za kiume zenye mbio ni siku mbili

kinachotokea sababu yai limeshuka mbegu dume linaziwai yai kuliko za jiko zitakazokuja nyuma polepole zikifika zitatunga mimba ya kiume

naitw dr appoh ni bingwa wa matatizo ya uzazi kwa wanaume gharama yangu ni elfu 20 tu kwa whats app nakupa formula ya matunda tu bila kemikali na unspona kabisaa 0712505049
Mkuu siku 14 kama uyo mwanamke ana mzunguko wa siku 28 tu
 
Nashauri tumia hii mbinu. Hesabu hizo siku vizuri. Na wewe mwanaume wakati unasubiria hizo siku usithubutu kugonga nje. ili uongeze wingi wa mbegu za Y ambazo ndo za mtoto wa kiume.

Mimi na my wife wangu tulihitaji kupata mtoto wa kiume. siku ya 12 baada ya ovulation nikagonga mzigo halafu baada ya miezi 4 tukaenda kucheki hospitaln. Docta kasema ni kidume. dogo kashazaliwa na Sasa ana mwaka mmoja maisha shwaaafi.
 
Jambo hili halipo katika milki ya Mwanadamu ww ni nan mpaka ujipangie mtoto wa kiume/kike hii ni kazi ya Mola wako hao madaktari wenyewe mbona tukonao uku mitaani wengine hawana mtoto hata mmoja wengine wana watoto wa kike tu ina maana yeye hataki wakiume?
China ipo!
 
Sperms zinazobeba Y travels fast than zinazobeba X,
So Fanya sexual intercourse on ovulation utapata a boy,

Ukifanya prior to ovulation (2days) za Y zitaenda fasta afu hazitakuta yai so zitakufa, za X zinajikongoja zinakutana na yai, babygirl huyoo
Mimi nilifikiri ni X ndiyo zinasafiri upesi lakini zinakufa mapema na zikiacha Y kuendelea kuishi for 72hours, hapa yai likipevuka linakutana na Y bado zina ishi na X zote zimekufa = baby boy!
 
Jambo hili halipo katika milki ya Mwanadamu ww ni nan mpaka ujipangie mtoto wa kiume/kike hii ni kazi ya Mola wako hao madaktari wenyewe mbona tukonao uku mitaani wengine hawana mtoto hata mmoja wengine wana watoto wa kike tu ina maana yeye hataki wakiume?
Biblia ktk methali inasema. " Maandalio ya moyo ni ya mwanadam, bali jawabu la ulimi latoka kwa Bwana"
 
Mimi nilifikiri ni X ndiyo zinasafiri upesi lakini zinakufa mapema na zikiacha Y kuendelea kuishi for 72hours, hapa yai likipevuka linakutana na Y bado zina ishi na X zote zimekufa = baby boy!
No, girl sperms (X) are stronger but travels very slow. .
Unlike the male sperms (Y) they are weak and travels fast
 
Watoto wa kiume imekua homa ya taifaa,duuuh poleeee mkuu ridhika na hao baby girls ulio nao hakuna namna hapo.
 
Back
Top Bottom