Inawezekana, ila wawekezaji hawapendelei kuwekeza katika aina hii kwa sababu kuu 2 nizijuazo
1. Sheria ya nchi inatamka kuwa ardhi ni mali yake sio ya wananchi, hivyo inaweza amua chochote na wakati wowote
2. Uwekezaji kwenye nyumba ya kupanga , faida yake inarudi kidogo kidogo, wawekezaji hawana muda wa kusubiri vifaida vidogo vidogo.