Arthur suarez
Member
- Feb 8, 2013
- 5
- 2
Hivi Kuna uwezekano wa kupata muekezaji kuwekeza kwenye eneo /kujenga jengo kwaajili ya makazi au biashara ama vyote kwa pamoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1)Una eneo la ardhiMimi sijakuelewa. Rudia kusoma ulicho andika halafu tueleweshe tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana, ila wawekezaji hawapendelei kuwekeza katika aina hii kwa sababu kuu 2 nizijuazo1)Una eneo la ardhi
2) eneo lile hutaki kuuza moja kwa moja unahitaji mtu aje kuwekeza either kujenga jengo la biashara ama makazi kwa mkataba fulani
3) baad ya mkataba kuisha umiliki unarud kwako
Je kitu hiki kinaweza kufanyika Na kwa njia zipi?