Hivi kuna uwezekano wa kuwa na vyama vingi vya mpira wa miguu?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wakuu TFF ni shirikisho la mpira wa miguu Tanzania. Shirikisho hilo linaundwa na vyamw vya mpira vya mikoa kama sikosei. Vyama vya nchi kama TFF vimeungama na kutengeneza FIFA, shirikisho la mpira wa miguu duniani.

Kwa nchi yetu, TFF wana monopoly ya kumamia mpira? Unaweza kuanzisha chama cha mpira wa miguu mbali na TFF? Vyama vya mikoa ni lazima viwe kwenye shirikisho la TFF? Mtu au watu mnaweza kuanzisha chama cha mpira wa miguu cha mkoa ambacho hakihusiani na TFF, mkafanya mambo yenu peke yenu, kuanzisha ligi zenu nk.

Hili swala la vyama vingi vya mpira wa miguu linawezekana?
 
Sijajua km mtu unaeza kuanzisha chama chako cha mpira km ilivyo siasa
 
Hilo halipo,
Duniani kuna chama kimoja tu Cha FIFA, so kila nchi kutakua na chama kimoja tu chini ya FIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…