Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wakuu TFF ni shirikisho la mpira wa miguu Tanzania. Shirikisho hilo linaundwa na vyamw vya mpira vya mikoa kama sikosei. Vyama vya nchi kama TFF vimeungama na kutengeneza FIFA, shirikisho la mpira wa miguu duniani.
Kwa nchi yetu, TFF wana monopoly ya kumamia mpira? Unaweza kuanzisha chama cha mpira wa miguu mbali na TFF? Vyama vya mikoa ni lazima viwe kwenye shirikisho la TFF? Mtu au watu mnaweza kuanzisha chama cha mpira wa miguu cha mkoa ambacho hakihusiani na TFF, mkafanya mambo yenu peke yenu, kuanzisha ligi zenu nk.
Hili swala la vyama vingi vya mpira wa miguu linawezekana?