Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hivi unawezaje kujua kwa uhakika kama ndugu, jirani ama mtu yeyote unayekutana naye barabarani, kazini, au kwingine kokote ni binadamu kabisa ambaye anasifa zote za kua binadamu.
Au una uhakika wowote kuwa wewe ni binadamu kabisa na sio kiumbe kingine ambacho sio binadamu lakini unaonekana kama binadamu?
Yaani unakula, unalala, unalia, unazaa , unazalisha, unazeeka, mwisho unakufa, lakini unaweza ukawa unaonekana binadamu kumbe sio binadamu.
Ningependa kujua, kama wapo au wanaweza kuja kuwepo viumbe ambavyo vinaonekana kama binadamu lakini sio binadamu kabisa! Ingawa kwa kuwaangalia wanasifa zote za kibinadamu!