Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, pole sana nafahamu umetumia uwezo wako wote kufikiri.Hivi unawezaje kujua kwa uhakika kama ndugu, jirani ama mtu yeyote unayekutana naye barabarani, kazini, au kwingine kokote ni binadamu kabisa ambaye anasifa zote za kua binadamu.
Au una uhakika wowote kuwa wewe ni binadamu kabisa na sio kiumbe kingine ambacho sio binadamu lakini unaonekana kama binadamu?
Yaani unakula, unalala, unalia, unazaa , unazalisha, unazeeka, mwisho unakufa, lakini unaweza ukawa unaonekana binadamu kumbe sio binadamu.
Ningependa kujua, kama wapo au wanaweza kuja kuwepo viumbe ambavyo vinaonekana kama binadamu lakini sio binadamu kabisa! Ingawa kwa kuwaangalia wanasifa zote za kibinadamu!
Naona kuna wadau wengine wanasema hata Mwana Ccm Kama wewe ni binadamu hata Kama upo ktk chama korofi ya wanainchiVery..nasubiri majibu....kwa walionielewa au kuelekea kunielewa.
Mkuu wote ni Binadamu hizo ni hulka na tabia hazimtoi mtu ktk utambulisho wayeye ni binadamuWalioua wafanya biashara msitu Pande hawakuwa binadamu na wengi wengine wanaofanya kazi kama hiyo