Hivi kuna viumbe wanaishi na binadamu kama binadamu lakini sio binadamu?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Hivi unawezaje kujua kwa uhakika kama ndugu, jirani ama mtu yeyote unayekutana naye barabarani, kazini, au kwingine kokote ni binadamu kabisa ambaye anasifa zote za kua binadamu.

Au una uhakika wowote kuwa wewe ni binadamu kabisa na sio kiumbe kingine ambacho sio binadamu lakini unaonekana kama binadamu?

Yaani unakula, unalala, unalia, unazaa , unazalisha, unazeeka, mwisho unakufa, lakini unaweza ukawa unaonekana binadamu kumbe sio binadamu.

Ningependa kujua, kama wapo au wanaweza kuja kuwepo viumbe ambavyo vinaonekana kama binadamu lakini sio binadamu kabisa! Ingawa kwa kuwaangalia wanasifa zote za kibinadamu!
 
Wapo wengi tu nakutana nao kila wakati, ukitaka kuwajua ukikuta mawe na magogo barabari ujue ni wamoja wa hao
 
Wapo wengi sana mmojawapo ni wewe hapo,yaani unaonekana tu hata kwa avatar yako si binadamu wa kawaida.
 
Hili swali angekuwepo Marehemu Marijani Rajab RIP angetujibu haraka maana aliimba kwenye watu kumi binadam mmoja
 
Mbona majibu yako wazi kabisa? Hivi wewe na misukule wenzako wa ccm hivi kabisa mnajidanganya kwamba na nyinyi ni binadamu? Come on.
 
tafakuli ngumu hii. Mushana Jr lazima asaidie hapa
 
inawezakana wakawepo lakini wasiwe wanaonekana kwa macho ya kawaida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…