Hivi kuna viumbe wanaishi na binadamu kama binadamu lakini sio binadamu?

Walioua wafanya biashara msitu Pande hawakuwa binadamu na wengi wengine wanaofanya kazi kama hiyo
 
Mkuu, pole sana nafahamu umetumia uwezo wako wote kufikiri.
Lakini kutofautiana kwa matendo ni hulka ni tabia ya mtu haina maana kuwa kutofautiana kunamtoa mtu ktk kundi la binadamu.
 
Very..nasubiri majibu....kwa walionielewa au kuelekea kunielewa.
Naona kuna wadau wengine wanasema hata Mwana Ccm Kama wewe ni binadamu hata Kama upo ktk chama korofi ya wanainchi
 
Hebu stroke fafanua kwanza sifa za binadamu unaemuongelea hapa. Usituchoshe, kila mtu anatafsiri yake ya binadamu ndio maana ukaambiwa ubinadamu kazi japo sie wote binadamu.
 
Walioua wafanya biashara msitu Pande hawakuwa binadamu na wengi wengine wanaofanya kazi kama hiyo
Mkuu wote ni Binadamu hizo ni hulka na tabia hazimtoi mtu ktk utambulisho wayeye ni binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…