Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Habari zenu ndugu zangu..?
Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
 
Ebu kwanza,

file.png
 
Wanaweza kuwepo ila pia wasiwepo,ukitaka kumuona samaki n hodari kukwea mnazi utajisumbua tu.
 
Nadhani ukija bongo unapaswa kujua wanawake wanajua tu habari za Mange Kimambi, Viwanja vya kwenda kutega, Masuala ya kwenda miguu yote na Kuharibu future za wanaume.
 
Kuna dada mmoja Mnyakyusa anapiga coding vizur tuu
 
Back
Top Bottom