Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Wacha Mungu wamo

Walevi,wazinzi na waasherati wamo

Matajiri,makapuku na masikini wenye nafuu wamo

Matapeli wamo

Wachawi wamo

Hata bi mkubwa yumo[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Duh! Nitajie Id ya bimkubwa Shibela
 
Watu wa humu Kama walivo was mitaani Sana yaani matusi wao hawanaga Cha uvumilivu.ila me napenda forum ya quora kule watu wanaheshimiana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu yupi uliyeletewa na miarabu na mizungu kwa viboko, mijeredi na kubakwa au miungu wa kihindu wanaoishi nao nyumbani mwao au mungu gani unamzungumzia?
 
Back
Top Bottom