Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Humu utapata walevi na wazee wakula tunda kimasihala.
 
Mtoa maada kitu gani umekiona hapa jf cha ajabu sana mpaka ukawaza hivyo.
Kawaida tu mkuu, ila naona kama tumejiachia sana kama vile uhai wetu, dunia yetu
 
Ahaa kumbe, kwani hofu ya Mungu na ucha Mungu ni kitu kimoja?
Ukitaka kuelewa utaelewa!! Ukitaka kufahamu utafahamu!!
Yes Ni mambo mwili tofauti:-
Hofu ya Mungu ni "Khoufu 'LLah" yaani hukosei maamrisho yake (Mwnyz Mungu) na kutii sheria.

Ucha Mungu ni "Matendo mema kwa ajili yake yanayo mridhisha Mwenyeezi Mungu" (bila kumshirikisha Muumba au RIAA )
In short tunaita Taqwa
 
Humu utapata walevi na wazee wakula tunda kimasihala.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu upo wap kati ya hao?
 
Mungu yupi uliyeletewa na miarabu na mizungu kwa viboko, mijeredi na kubakwa au miungu wa kihindu wanaoishi nao nyumbani mwao au mungu gani unamzungumzia?
Mkuu hauamini uwepo wa Mungu katika huu ulimwengu[emoji24][emoji24]?
 
Ukitaka kuelewa utaelewa!! Ukitaka kufahamu utafahamu!!
Yes Ni mambo mwili tofauti:-
Hofu ya Mungu ni "Khoufu 'LLah" yaani hukosei maamrisho yake (Mwnyz Mungu) na kutii sheria.

Ucha Mungu ni "Matendo mema kwa ajili yake yanayo mridhisha Mwenyeezi Mungu" (bila kumshirikisha Muumba au RIAA )
In short tunaita Taqwa
Ahsante sana mkuu
 
Ndo wakina nan hao mkuu King Kong?

Bujibuji aka Tax Driver.

BJBJ.JPG
 
Back
Top Bottom