Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Nipo hapa.Greetings in the name of most highJah rastafarian, ever living, ever faithful,ever sure.The konkalini lion of Judah,blesssssss.
 
Hii Miguu kwenye avatar ni yako?😋
Wacha Mungu wamo

Walevi,wazinzi na waasherati wamo

Matajiri,makapuku na masikini wenye nafuu wamo

Matapeli wamo

Wachawi wamo

Hata bi mkubwa yumo[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Wapo ila sasa kama unavyojua ndugu yangu kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.

Na hawa kenge ndo wengi.

Nikiwataja watanipopoa nenda kwenye sredi za ufuska utawaona.

Ukawaombee lakini sio ukawazodoe.
 
Wapo ila sasa kama unavyojua ndugu yangu kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.

Na hawa kenge ndo wengi.

Nikiwataja watanipopoa nenda kwenye sredi za ufuska utawaona.

Ukawaombee lakini sio ukawazodoe.
Karucee twende tukawazodoe bhn[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom