Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huko google hawaoneshi location siku za wikiend, jongea pale Maisha Club
Pale hapafai ndugu mjumbe, ebu tufanye Waswanu
 
Pale hapafai ndugu mjumbe, ebu tufanye Waswanu
Huko hamna watoto wazuri mh mjumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kinywaji hakitashuka vizuri kwenye koromeo
 
Karibu Iwiji aisee
Unakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
 
Nipo Chome huku Nkungwini, ndani kabisa. Ukiwa Same ukatizama ile milima huwezi jua kama kuna binadamu anaishi huko.

The good thing is, mitandao hii imetufikia japo tunacheza na E mdaot wote...teh!
 
Back
Top Bottom