[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa ndugu mjumbe, ndio najisogeza pale Kilimani.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pale hapafai ndugu mjumbe, ebu tufanye Waswanu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko google hawaoneshi location siku za wikiend, jongea pale Maisha Club
Huko hamna watoto wazuri mh mjumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pale hapafai ndugu mjumbe, ebu tufanye Waswanu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Huko hamna watoto wazuri mh mjumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kinywaji hakitashuka vizuri kwenye koromeo
Unakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
Dah watu wa humu wanavituko mungu wangu,ukisema wa mjini basi ote mjini,wakisema nje bas kila mmoja yuko ulaya
Mimi nipo posta dar,sijui wenzangu
Jumatatu..kuna jamaa yangu anavuta jiko,so nimekuja kujumuika nayeUmerudi lini toka ulaya kwenu
Jumatatu..kuna jamaa yangu anavuta jiko,so nimekuja kujumuika naye
Hahaha!!..Sawa bibie..hii sio kama mikwara ya andunje mwenye hekalu lake bunju..Safari hii ukiondoka usiniache isiwe mikwara ya andunje tu
Msata kwa Msukuma hapa.Msata kilingeni