44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sijawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.
Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:
1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?
Karibuni wachangiaji, mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro