Hivi kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sjawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.

Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:

1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

Karibuni wachangiaji,mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro
Wanawekaga vibration au silent mode wengine flight mode lakini kazi inaendelea ndani kwa ndani
 
Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sjawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.

Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:

1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

Karibuni wachangiaji,mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro
Habari ya hapo Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom