Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Wanawekaga vibration au silent mode wengine flight mode lakini kazi inaendelea ndani kwa ndaniNipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sjawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.
Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:
1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?
Karibuni wachangiaji,mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro