Hivi kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?

Jaribu kuwauliza wahusika hilo swali halafu ulete mrejesho hapa.
 
Wapo mkeo hatoagi sauti
 
Ndo hapo mpaka amekua ashawahi sikia wazazi wake...?? Umbea tuu sema anyway kuna wanawake huwaga hawatoi sauti kabisq zaidi ya miguno ya mbalii
Kwanini hawatoi sauti? Na wanaume je wanatoa au hawatoi sauti?
 
Jibu swali kwanza ndo na wew ulete polojo zako
 
Muda mwingine mazingira yanafanya mtu asitoe sauti. Kama hivyo unavyosema hujawahi kuwasikia inaweza kuwa purposely hawataki kusikika sababu sex ni starehe ila sauti inaweza kuwa kero na aibu kwa muhusika.
Sasa je wanatumia techniques zp il saut zistoke wakat utam ukianza kuwaingia ??
 
Huna kazi
 
Labda wameweka sound proof utajuaje?

Ushauri wangu... Punguza tabia ya kupiga punyeto. Umeshakuwa mkubwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…