Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

Kwetu Kenya Kuna kabila linaitwa waluhya( kabila langu) Aisee Hili kabila limejaliwa wanawake wenye misambwanda hatari na wenye miguu mizito iliyojazia nyama.

Kuhusu ufundi kitandani ndio nisiseme, huwa wanapiga viuno balaa utadhani feni bovu.
Mwanaume Kama huna pumzi ya kutosha usiombe mechi na mwanamke wa kiluhya maana utafia dimbani.
 
Hao ni Professional, master, NGULI,
Kwa hapa Tanzania wako Mbele miaka Mia kwenye hiyo sekta.
Hao wanaoitwa Wanawake watanga ni wakawaida Sana duarani. Ila kwenye mahaba ya kuhudumia Mwanaume wako njema.

Ila unapozungumza Duarani, dimbani basi Wamakonde ni habari nyingine Kabisa
 
SIku nitafanya utafiti
 
Mda huo wewe ulikuwa wapi?
 
Mzee wewe inaonekana ni una uzoefu wakutosha kuliwakilisha taifa kwenye tafiti za masuala ya mahusiano na makabila hapa Tanzania.

Majibu yako yamekaa na yamejaa utaalam na yameshiba utafiti wakutosha [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…