mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
"...unapata aibu ya Mwaka..."Ujipange maana ukizubaa unaweza kujikuta unapata aibu ya Mwaka.
Mchezo wao ni wakiufundi, minyumbuliko kama yote, kusotea, Kasi na Wakati mwingine slow motion,
Nenda kuanzia maeneo ya kongowe kule Mbagala, twangoma, Mwembemtengu, mpaka unatokea Mkuranga. Huko ndio wamekaa Kwa wingi
[emoji115]
Aibu gani mkuu? Itaje