Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

siku hizi kila mahala yapo.. Ni mtu kujiongeza tu
Zamani mila zilichangia mfano tanga, wamakonde, wazaramo.. Watoto wanafundwa, wanafundishwa nini mwanaume anahitaji, makabila mengine sidhani kama walikuwa na hiyo desturi, ila siku hizi, watu wanajifunza mtandaoni, majarida kibao, unakuta mtu msukuma lakini mmakomde haoni ndani kwa Kiuno, unakuta mtu mchaga lakini mtanga cha mtoto kwa mahaba yake. 😂
 
Back
Top Bottom