Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?
sio tu wafanyibiashara,
tunao wafanyakazi, hususani madaktari, wapo wanafunzi lukuki wengine wamehitimu masomo na wengine wanaendelea na masomo yao vizuri tu huko India.

roho mbaya dhana tu 🐒
 
Lete ushahidi wa wafanya biashara na madaktari wanaofanya kazi sio wanafunzi ili tuendelee na mjadala...
 
sina haja kubabaika na hilo ikiwa haukubaliani na hoja yangu, kwasabb haina maana yoyote,

Lakini ni muhimu sana ikafahamika tu kwamba wapo wafanyibiashara na wafanyakazi wengi tu, wamejazana India, kama ilivyo maeneo mengine duniani gentleman 🐒
 
sio tu wafanyibiashara,
tunao wafanyakazi, hususani madaktari, wapo wanafunzi lukuki wengine wamehitimu masomo na wengine wanaendelea na masomo yao vizuri tu huko India.

roho mbaya dhana tu 🐒

Wanafunzi wapo lakini huwezi kupata ajira India hata siku moja. Wao wenyewe haziwatoshi... huwezi pika kachori wala sambusa mtaani ukafanya biashara. huwezi pata uraia wa india kimchezo mchezo kwani wako full house. Kwanza kupata tu line ya simu india sio kirahisi rahisi kama bongo
 
sina haja kubabaika na hilo ikiwa haukubaliani na hoja yangu, kwasabb haina maana yoyote,

Lakini ni muhimu sana ikafahamika tu kwamba wapo wafanyibiashara na wafanyakazi wengi tu, wamejazana India, kama ilivyo maeneo mengine duniani gentleman 🐒
muongoooooooo
 
Back
Top Bottom