Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
sio tu wafanyibiashara,Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?
Lete ushahidi wa wafanya biashara na madaktari wanaofanya kazi sio wanafunzi ili tuendelee na mjadala...sio tu wafanyibiashara,
tunao wafanyakazi, hususani madaktari, wapo wanafunzi lukuki wengine wamehitimu masomo na wengine wanaendelea na masomo yao vizuri tu huko India.
roho mbaya dhana tu π
sina haja kubabaika na hilo ikiwa haukubaliani na hoja yangu, kwasabb haina maana yoyote,Lete ushahidi wa wafanya biashara na madaktari wanaofanya kazi sio wanafunzi ili tuendelee na mjadala...
sio tu wafanyibiashara,
tunao wafanyakazi, hususani madaktari, wapo wanafunzi lukuki wengine wamehitimu masomo na wengine wanaendelea na masomo yao vizuri tu huko India.
roho mbaya dhana tu π
muongoooooooosina haja kubabaika na hilo ikiwa haukubaliani na hoja yangu, kwasabb haina maana yoyote,
Lakini ni muhimu sana ikafahamika tu kwamba wapo wafanyibiashara na wafanyakazi wengi tu, wamejazana India, kama ilivyo maeneo mengine duniani gentleman π