Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

Kwani Dr Luis naye aki comment huku si utamuita wa kishua kabisa, tena sio mboga saba, kumi na mbili.
 
Humu
Kila mtu ana nyumba kali
Kila mtu ana gari
Kila mtu ni mkuu
Humu wote wa kishua
Kuna uzi fulani jamaa anasifia simu za tecno jinsi zinavyosaidia watu na bei zake nafuu. Daaah wachache sana waliunga mkono lkn kila mtu akija anakandia na kujitapa kwamba yeye ni iPhone/galaxy user na hata apewe tecno bure hawezi kuchukua [emoji3]

Humu washua wengi hahaha
 
almost jf nzima ni mambo safi..

NB: mimi ni wa hali ya kawaida tu..wala msinifkirie sana
 
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........

hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi


mbona JF ni kwa wote mkuu..
kwenye JF watu tofauti hujifunza mambo kibao humu.
labda majina tu ndio wanabadili hata viongozi tunao humu
 
mkuu mi ni wa muda.. sema tu maisha mazuri haya na kujichanganya ndo kunafanya wengine wadhani tunalingana. nimekula tuchumvi kidogo huwa nawaambia tu watu nina above 40.
kumbee we ni wa kitambo sana
 
Mkuu unamaanisha na mm pia nina hivyo vitu???
Kwani una ishi uswahili? Hapana
Una degree ? Ndio
Unaishi nyumba safi sana? Ndio
Una gari zuri tu? Ndio
Unatarajia kuongeza gotofa? Ndio
Umeshatembea tembea nchi za nje? Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…