agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
hapana mimi mtoto wa mwalimuKama huyu kashajitaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mimi mtoto wa mwalimuKama huyu kashajitaja
Hahahaa.Watoto wa Dr Shika wapo humu
Hahaha ila nawe ni mkongwe bado upo Active Jf?Mbona jf hakuna makapuku, humu wote mambo safi, mboga Saba, hi daddy hi mommy....
Hapa ndo kijiwe ntaenda wapi tena....Hahaha ila nawe ni mkongwe bado upo Active Jf?
Kuna uzi fulani jamaa anasifia simu za tecno jinsi zinavyosaidia watu na bei zake nafuu. Daaah wachache sana waliunga mkono lkn kila mtu akija anakandia na kujitapa kwamba yeye ni iPhone/galaxy user na hata apewe tecno bure hawezi kuchukua [emoji3]Humu
Kila mtu ana nyumba kali
Kila mtu ana gari
Kila mtu ni mkuu
Humu wote wa kishua
kaonewapo
Salute kwako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Humu
Kila mtu ana nyumba kali
Kila mtu ana gari
Kila mtu ni mkuu
Humu wote wa kishua
Mboga kumi na tano itapendezaKwani Dr Luis naye aki comment huku si utamuita wa kishua kabisa, tena sio mboga saba, kumi na mbili.
kama ka wewekaone
nitafute kuna kitu natak nikupekama ka wewe
Mkuu unamaanisha na mm pia nina hivyo vitu???Humu
Kila mtu ana nyumba kali
Kila mtu ana gari
Kila mtu ni mkuu
Humu wote wa kishua
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........
hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi
hahaha niambie I nbox kitu gani.nitafute kuna kitu natak nikupe
kumbee we ni wa kitambo sana
Kwani una ishi uswahili? HapanaMkuu unamaanisha na mm pia nina hivyo vitu???