nipe namba yakeMm kkuna huyo demu ni moderator anaitwa cookiee nampenda kinywama..
Mtukane bashiteNiandike nn au nifanye nn ili nipate ban
Mimi nina miaka 9 hapa sijawahi kupigwa BANNakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Ban ndio nini?Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Kutopigwa ban ni sawa na kutokwenda jando, lazima utambue upande wa pili wa JF kwa kula kifungo, kuna funzo kubwa sana kwenye banNakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Bado nawaza uliandika kitu gan hadi ukala BANKutopigwa ban ni sawa na kutokwenda jando, lazima utambue upande wa pili wa JF kwa kula kifungo, kuna funzo kubwa sana kwenye ban