Hivi kuna watu hawajawahi kweli kupigwa BAN toka waanze kutumia jf?

Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Mimi nina miaka 9 hapa sijawahi kupigwa BAN
 
Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Ban ndio nini?
 
Kwani ukipigwa BAN watakulipa Fidia kiasi gani [emoji23][emoji23]
 
Nilichogundua mara nyingi ban huwa ziko jukwaa la siasa kwa wale wanaotukana viongoz lakin majukwaa mengine si rahis mtu kupigwa ban

Mimi nimekula ban nying sana maxee maana huwa sipend ungese ukizingua tunazinguana kwel
 
Ban ni kitu kinachomkuta mtu asieweza zuia mihemko, hisia na kughafirika kwake. Sijawahi wala sitegemei.
 
Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?

Nipo hapa
 
Kutopigwa ban ni sawa na kutokwenda jando, lazima utambue upande wa pili wa JF kwa kula kifungo, kuna funzo kubwa sana kwenye ban
 
Bado nawaza uliandika kitu gan hadi ukala BAN

Mbona haufanani na waropokaji wanaokula ban kila uchwao
 
Back
Top Bottom