Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

Ukisema sijafanya utafiti wa kutosha lazima utuambie wewe bei yako baada ya utafiti!....unless kama unataka kuleta uswahili pia routers unaweza kuwaonganisha familia au team yako mkiwa kwenye event au kazini so inamatumizi mengi labda kama huyajui!!
Kwa hiyo hujamuelewa au?
Kama vipi njoo mjini usafishe akili na macho.
Madhara ya kuishi magengeni ni makubwa kuliko faida.
The Risks of Living in The Slums Far Outweigh The Benefits
 
Hakuna ulazima wa kutembea na hizo router, hata laini yako tu inaweza kutengenezwa ukawa unajiunga vifurushi unlimited vile vile.
Tushafikia huku? Kama ni kweli hii niko tayar kuwa nayo hata kwa hiyo 70k
 
Yes hizo ni Pocket wifi ukitaka kusafiri kuenda kazini unaichukua unaitia mfukoni unaenda tu
Hii bado ni tatizo, inabidi tufikie hatua ambayo lije ya simu iunganishwe unlimited wifi popote, kama ttcl wanavyofanya sahv, kwann kubeba mamizigo mengi dunia ya leo
 
Kuna jamaa angu pia yuko tabata chang'ombe naye anafanya hivi hivo
 
Pole lakini unapoteza wewe sio mimi🙃.....akati wenzako wanachangamkia pocket wifi zenye bando bila kikomo wewe uko nyuma
Acha kudanganya watu, UNAJUA MAANA YA NENO UNLIMITED?!

UNLIMITED IKO TTCL TU! ndio wanakupa Speed from 10-20 mbs/sec na unlimited download/upload

Hii mitandao yote iliyobaki ni JANJAJANJA TU! WANAKUPA KIFURUSHI GB40 KWA 70K WANAITA UNLIMITED!?

Halafu hizo Gb 40 ukifikia kikomo,hata ndani ya wiki HAWAKUTAARIFU! WANASHUSHA SPEED kimyakimya! HADI 0.5kb/s
Huwezi fungua hata picha ya watsapp!

Mitandao iache janjajanja!!!
 
Wewe mk*ndu nn!

Sasa si angesema anafanya kitu specific,

Kwa hiyo wewe ndo semaji wake?
Ona ulivyo mjinga, ndio hicho kimejaa ubongoni mwako. Akuambie kitu specific anachofanya wewe kama nani? Unamlipia wewe bando?
 
Hizi wifi mbona bundle zake ghali sana mkuu. Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia hivi vifaa? Wanawezaje kumudu gharama kubwa kiasi hiki?
 
Mitandao hii imekaa kilaghai na kiCCM zaidi.
 
Acha Utapeli Ndugu huko kote tumeshapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…