Niliwahi kusikia toka kwa
Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba
graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na
plan za kufanya biashara flani na Serikali inawadhamini.Kuna yeyote
aliyewahi kufanyia kazi hiki kitu halafu labda akafanikiwa au
alikwama,tusaidiane kwa mwenye uzoefu wa hili.Nawasilisha