Hivi kunaaliyewahi kujaribu hii

Hivi kunaaliyewahi kujaribu hii

10Shoka14

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
305
Reaction score
122
Niliwahi kusikia toka kwa Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na plan za kufanya biashara flani na Serikali inawadhamini.Kuna yeyote aliyewahi kufanyia kazi hiki kitu halafu labda akafanikiwa au alikwama,tusaidiane kwa mwenye uzoefu wa hili.Nawasilisha
 
Inawezekana alisema kipindi cha kampeni. Mbona harudii tena?
 
Niliwahi kusikia toka kwa
Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba
graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na
plan za kufanya biashara flani na Serikali inawadhamini.Kuna yeyote
aliyewahi kufanyia kazi hiki kitu halafu labda akafanikiwa au
alikwama,tusaidiane kwa mwenye uzoefu wa hili.Nawasilisha

hilo changa tu,na mabilion ya kikwete yaliwafikia walengwa?
 
Back
Top Bottom