Hivi kunaweza kuwapo chawa bila damu na uchafu?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kila anayefuga chawa ni mchafu.
Pia, chawa ni wachafu.
Kila mfuga chawa ni dhaifu.
Chawa ni dhaifu.
Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha.
Unaipata wapi damu ya kuwanyonyesha chawa bila kunyonya?
Kuna kipindi mnyonywaji anaweza kuwa mnyonyaji.
Chawa na mfuga chawa, wote hawafai.
Kama wanafaa, wanafaa kuteketezwa ili kutosambaza magonjwa.
Chawa ni hatari.
Anayewavumilia pia ni hatari.
Tuachie hapa leo.
 
IMG_20240922_035041.jpg

KAZI NA UTU
KAZI ya kutoa UTU wa watu.

CHAWA wanafurahia sana vifo na mateso wanayopata wapinzani na wakosoaji wa MamaSamia2025
 
Kila anayefuga chawa ni mchafu.
Pia, chawa ni wachafu.
Kila mfuga chawa ni dhaifu.
Chawa ni dhaifu.
Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha.
Unaipata wapi damu ya kuwanyonyesha chawa bila kunyonya?
Kuna kipindi mnyonywaji anaweza kuwa mnyonyaji.
Chawa na mfuga chawa, wote hawafai.
Kama wanafaa, wanafaa kuteketezwa ili kutosambaza magonjwa.
Chawa ni hatari.
Anayewavumilia pia ni hatari.
Tuachie hapa leo.
Duh...!
P
 
Chawa Mbadi , Lucas Mwashambwa, ChawaWaMama , chawa wa mama, Malaria 2 Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom