King shark
Member
- Aug 4, 2019
- 31
- 17
Habarini wanamitindo wenzangu,mimi.kijana wa makamo tu,nmefuga nywele ndefu nmepunguza pemben level flani.hivi, lakini kuna watu wanasema kuna kunyoa hivo unavhukuliwa.kma.ni uhuni,je nifanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoa kipara upate uwezo wa kuandika vizuri.
hahaha haha habari picha sio! !!
Acha kuwasikiliza, ishi maisha yako bro
Nyoa kiduku uone kama kuna paka atakusumbua
sio mbaya ,,usiwasikilize watu,fanya yako...
![]()
Kila mtu na fani yake mkuuWenzake Wanafuga Kuku Wale Nyama, Yeye Anafuga Ndevu