Hivi kunyoa style ni uhuni?

Hivi kunyoa style ni uhuni?

Moja ya sababu zilizonipelekea kuchagua kujiajiri na kutoajiriwa hasa serikalini, ni uhuru wa kunyoa, kuvaa chochote ninachokitaka kwa muda wowote and nobody will ask me.

Fanya unachotaka mkuu though nakubali kuna kazi au mazingira yanalimit uvaaji au unyoaji fulani.
 
Mkuu achana nao..me mwenyewe nnazo ndefu balaa alaf nazipunguzaga pembeni tu.
 
Tupeane mbinu tu za kufanya ili zisiwe zinakatika tukizichana.
 
Thank you bro,u spoke right
Angesema tofauti na unavotaka wewe asingekuwa sahihi! Nadhani hata tukikushauri tofauti na unavoamini na hata ikionekana tupo sahihi huto uchukua ushauri wetu kwa sababu umekuja kuomba ushauri ilihali ulishafanya maamuzi ya kuendelea na mnyoo wako haya kaza na huo mnyoo upo sahihi kabisa!
 
sio mbaya ,,usiwasikilize watu,fanya yako...
Say No More Haircut
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom