Angesema tofauti na unavotaka wewe asingekuwa sahihi! Nadhani hata tukikushauri tofauti na unavoamini na hata ikionekana tupo sahihi huto uchukua ushauri wetu kwa sababu umekuja kuomba ushauri ilihali ulishafanya maamuzi ya kuendelea na mnyoo wako haya kaza na huo mnyoo upo sahihi kabisa!Thank you bro,u spoke right
ππππππsio mbaya ,,usiwasikilize watu,fanya yako...