Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

Mmh ukinifanyia hivo nitabaki kukudharau tu. Labda aje mwanamke mwenzangu anipinge kwamba inahusu
🤣🤣🤣🤣🤣
Ahsante kwa kuweka wazi, nahisi kuna wanawake wengi sana wapo kama wewe.......wanawacheka kimya kimya tu. Lakini acha wacheke tu kwani inakuaje mtu ufanye jambo kama hilo?!!!
 
Enzi nachipukia nilizipiga sana hizo mambo,saivi staki hata dendaa upuzi kabisa!mtu kala dagaa unabugia ulimi hapanaa seee.........
 
Hv kuna watu wananyonya **** kweli mm nilidhan ni utani.... Hao wanaonyonya k bila shaka terminology KINYAA hakunaga.
Mkuu wapo, tena wengine walivyopatwa na uraibu imefikia hatua wanatembea huku midomo yao inamwinyamwinya muda wote kutokana na uzoefu wa kulamba.
 
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?

Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu.

Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida ya kujisafisha yenyewe, yaani kuna liquid huwa, karibu muda wote, inatoka ndani kuja nje kupitia uke; bado watu wanalamba na kufakamia chumvi tu kama wamerogwa.

Pamoja na wale waliopata bahati mbaya ya kutoa harufu mbaya ukeni mwao kujifukizia manukato mengi yenye harufu kali sana kwa lengo la kuficha hiyo harufu; bado watu wanafyodoa chumvi tu kwa ulimi bila kujali madhara ya manukato haya hatari.

Nini chanzo na nani muanzilishi?
Na siku hizi wananyonya "mtaroni"
 
Back
Top Bottom