Taratiibu shemeji utamwaga jukwaani πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNakutafuta, Gf nakutafuta sana sikupati!!
πππ mama mchungaji kumbe chama la wana!! Ushakwepa mishale mingi!!π€£π€£π€£π€£π€ Kwakweli Yesu anipe mume ambae ashapita huku ,sitaki bikira mieπππ
We nawe ulikuwa wapi lakiniπππ nimefika mwanasheria wako
Haya nipe muongozo, nijue jinsi ya kukutetea
Ulimi ukipiga kigeregere kwenye kissme unanena kwa lugha!!!ππππHavihusianiπ€£π€£
Ss mi kuokoka kwangu nikiolewa ndo nishindwe kuinjoy?
Weee biblia yenyewe imesema 'tusinyimane....'
Tendo la ndoa,ππ
Sio la uzinzi na uasherati.....ππ
Nilikuwa kutoa papa kwa shemejio leo weekend haendi job π€£π€£π€£π€£We nawe ulikuwa wapi lakini
ππππ₯°π₯°πDuh nawaza nikipata ambae hapigi deki sijui itakuwaje!?
Nitakua na maisha magumu kwenye hiyo ndoa!.
Mungu anisaidie ππ€π
Umeokoka na nini ajali ya moto au maji?? Au umekoswa koswa na simba!?Nimeokoka mie [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye kamba mguuni ndio wazuri nyinyi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko me mzinzi sana??
Mwenzio sijui lolote nina kamba mguuni
Kumekucha ππππUmeokoka na nini ajali ya moto au maji?? Au umekoswa koswa na simba!?
Tutolee ulokole hapa, kut..mbana hakuna kuokoka...
Mnavila na chachandu ya mbilimbi vikuku πππWenye kamba mguuni ndio wazuri nyinyi..
Uswahilini vinaitwa vikuku..π€£π€£
Group letu lenyewe si unaona kabisa ni O yani tundu(shimo) sasa tunaachaje kupenda tundu wakati yakupenyezea sisi tunayo (I)Kumekucha ππππ
Group O wote mnapenda michezo michafu
Sisemi mimiπ€£π€£Mnavila na chachandu ya mbilimbi vikuku πππ
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?
Makaveli nipasie kijiti unachotumia twende sawa π€£π€£π€£Group letu lenyewe si unaona kabisa ni O yani tundu(shimo) sasa tunaachaje kupenda tundu wakati yakupenyezea sisi tunayo (I)
Hebu google alama ya kuswitch on na off utapata jawabu kamili.
Njoo tuvutie huku, siunajua mwenge hauruki kijiji..Makaveli nipasie kijiti unachotumia twende sawa π€£π€£π€£
We unile mande thubutu π€£π€£π€£Njoo tuvutie huku, siunajua mwenge hauruki kijiji..