Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratiibu shemeji utamwaga jukwaani 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Nakutafuta, Gf nakutafuta sana sikupati!!
😂😂😂 mama mchungaji kumbe chama la wana!! Ushakwepa mishale mingi!!🤣🤣🤣🤣🤭 Kwakweli Yesu anipe mume ambae ashapita huku ,sitaki bikira mie🏃🏃🏃
We nawe ulikuwa wapi lakini😂😂😂 nimefika mwanasheria wako
Haya nipe muongozo, nijue jinsi ya kukutetea
Ulimi ukipiga kigeregere kwenye kissme unanena kwa lugha!!!😂😂😂😂Havihusiani🤣🤣
Ss mi kuokoka kwangu nikiolewa ndo nishindwe kuinjoy?
Weee biblia yenyewe imesema 'tusinyimane....'
Tendo la ndoa,🙌🙌
Sio la uzinzi na uasherati.....🏃🏃
Nilikuwa kutoa papa kwa shemejio leo weekend haendi job 🤣🤣🤣🤣We nawe ulikuwa wapi lakini
😋😋😋🥰🥰😘Duh nawaza nikipata ambae hapigi deki sijui itakuwaje!?
Nitakua na maisha magumu kwenye hiyo ndoa!.
Mungu anisaidie 🙌🤭🏃
Umeokoka na nini ajali ya moto au maji?? Au umekoswa koswa na simba!?Nimeokoka mie [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye kamba mguuni ndio wazuri nyinyi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko me mzinzi sana??
Mwenzio sijui lolote nina kamba mguuni
Kumekucha 😂😂😂😂Umeokoka na nini ajali ya moto au maji?? Au umekoswa koswa na simba!?
Tutolee ulokole hapa, kut..mbana hakuna kuokoka...
Mnavila na chachandu ya mbilimbi vikuku 😂😂😂Wenye kamba mguuni ndio wazuri nyinyi..
Uswahilini vinaitwa vikuku..🤣🤣
Group letu lenyewe si unaona kabisa ni O yani tundu(shimo) sasa tunaachaje kupenda tundu wakati yakupenyezea sisi tunayo (I)Kumekucha 😂😂😂😂
Group O wote mnapenda michezo michafu
Sisemi mimi🤣🤣Mnavila na chachandu ya mbilimbi vikuku 😂😂😂
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?
Makaveli nipasie kijiti unachotumia twende sawa 🤣🤣🤣Group letu lenyewe si unaona kabisa ni O yani tundu(shimo) sasa tunaachaje kupenda tundu wakati yakupenyezea sisi tunayo (I)
Hebu google alama ya kuswitch on na off utapata jawabu kamili.
Njoo tuvutie huku, siunajua mwenge hauruki kijiji..Makaveli nipasie kijiti unachotumia twende sawa 🤣🤣🤣
We unile mande thubutu 🤣🤣🤣Njoo tuvutie huku, siunajua mwenge hauruki kijiji..