Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ndiyo.Unaweza kutumia maziwa au kinywaji kingine.Cleopatra bibie mzuri alitumia maziwa zaidi.Sijui kwanini biblia inasema kuoga kwa maji sasa huwa najiuliza hivi kuna kuoga kuoga bila kutumia maji?
Aisee, mtu unaogaje kwa kutumia maziwa. Dunia ina mambo.Ndiyo.Unaweza kutumia maziwa au kinywaji kingine.Cleopatra bibie mzuri alitumia maziwa zaidi.
Arabuni huoga kwa mchanga, jamii za kifugaji huoga kwa kojo la ng'ombe.Sijui kwanini biblia inasema kuoga kwa maji sasa huwa najiuliza hivi kuna kuoga kuoga bila kutumia maji?
Jaribu mkuu kama unaweza kumudu gharama zake.Aisee, mtu unaogaje kwa kutumia maziwa. Dunia ina mambo.
Nikajua mchanga ni kuchukulia uzu tuArabuni huoga kwa mchanga, jamii za kifugaji huoga kwa kojo la ng'ombe.
Ngozii itakuaaa mwake sanaaaLipia tangazo mkuu😄
Haa nilipo lita ya maziwa ni 1000 sasa nikitafuta lita 50 si zinatosha kabisa, shida ni je nitajikaushaje baada ya kuoga au kuna kujisuuza na maji tena?Jaribu mkuu kama unaweza kumudu gharama zake.
Hapana.Kunakuwa na vijakazi wanakukausha siyo kukusugua na taulo hadi upauke tena.Just doing some dabbings to you.Maji ni kwa ajili ya mdomo na mswaki tu.Afresh!Haa nilipo lita ya maziwa ni 1000 sasa nikitafuta lita 50 si zinatosha kabisa, shida ni je nitajikaushaje baada ya kuoga au kuna kujisuuza na maji tena?
Mtu yeyote asiye oga huyo ni mchafu wa mwili na akili
Sujawahi kuona labda mwezi mchangaVipi kama mtu anaoga vema kwa kufuata utaratibu ila akili zake ni chafu?
Hao huitwa machizi-fresh!Sujawahi kuona labda mwezi mchanga
Mwanaume unapaswa kunukia kama BEBERU au Nyati MzeeHivi kweli kuna Mwanaume anadiriki kuoga?
Tumia dodoki OG kutoka kwenye mdodoki achana na hizo mbwembweMadodoki nikitumia nawashwa sana hasa vile vijiglovs twa kuvaa kiganjani.
Heee...kwahiyo pesa zinaondoa hadi uchafu mwilini "kama kuoga ni usafi, taulo lisongecgafuka" Afande Sele Baba Tunda Simba Zee Mtupori
Huwa wanazama sauna bath yanaishaWenye hela nasikia hamnaga hizo mambo...
Masikini ndio huoga na kuvaa vizuri ili kuficha umasikini wao.Mtu yeyote asiye oga huyo ni mchafu wa mwili na akili